كتاب SIFA ZA MKE MWEMAكتب إسلامية

كتاب SIFA ZA MKE MWEMA

Utangulizi................................................................... Himidi zote ni Zake Allaah. Tunamhimidi na kumtaka msaada na kumuomba mswamaha na tunatubu Kwake. Tunajikinga kwake kutokana na shari ya nafsi zetu na matendo yetu maovu. Mwenye Kuongozwa na Allaah hakuna wa kumpoteza. Mwenye Kupotezwa na Allaah hakuna wa kumwongoza. Nashuhudia ya kwamba hapana mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki isipokuwa Allaah Mmoja asiyekuwa na mshirika. Nashuhudia ya kwamba Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake, Swalah na salaam zimwendee yeye, ahli zake na Maswahabaha zake wote. Amma ba ́ad... Maudhui ya Risaalah hii iliyo na anuani ”Sifa za mke mwema” hayamuhusu tu msichana mdogo ambaye yuko katika njia ya kutaka kuolewa na anataka kujua sifa ambazo mke anatakiwa kuwa nazo ili ajiandae nazo, kuishi nazo na kuzitimiza. Vilevile hayamuhusu tu mwanamke ambaye ameolewa ambaye anataka kuwa na sifa za mke mwema ili aweze kuzidhibiti na kuishi nazo katika maisha yake. Vilevile hayamuhusu tu mwanamke mwenye upungufu ili aweze kutibu upungufu wake na kujisahihisha mwenyewe na ndoa yake tukufu. Ni wito na ukumbusho ulio jumla kuliko hivyo. Ni ukumbusho kwa baba ambaye anataka wasichana zake na wanawake ambao wako katika usimamizi wake wapate kukuwa vizuri na malezi mazuri na ndoa ambayo inaafikiana na Matakwa ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam). Kwa kupitia kalima hii itakuwa ni usaidizi kwake kuweza kuwakumbusha vidhibiti vya Shari ́ah na sifa ambazo inatakikana kwa msichana kukuwa juu yake. Kadhalika ni ukumbusho kwa mama ambaye ni mchungaji katika nyumba yake na wasichana wake na kuwatengeneza. Wasichana wengi wanakuwa kwa tabia na sifa mbalimbali ambazo wamepata kutoka kwa wamama zao. Sifa Za Mke Mwema Shaykh ́Abdur-Razzaaq bin ́Abdil-Muhsin Kitabu hii kinazunguzia sifa za mke mwema na namna ya kuzipata sifa hizo.
عبدالرازق بن عبد المحسن العباد - دولة : المملكة العربية السعودية اسمه ونشأته: عبدالرزاق بن عبدالمحسن البدر تاريخ الميلاد 22111382هـ مكان الميلاد الزلفي. المؤهلات العلمية : الدكتوراه في العقيدة. عضو هيئة التدريس بالجامعة الإسلامية بالمدينة المنورة المؤلفات والبحوث: فقه الأدعية والأذكار. الحج وتهذيب النفوس. تذكرة المؤتي شرح عقيدة عبد الغني المقدسي. شرح حاشية أبي داود. دراسة لأثر مالك في الاستواء. كتب المصنف بالموقع أذكار الطهارة والصلاة التبيين لدعوات المرضى والمصابين التحفة السنية شرح منظومة ابن أبي داود الحائية الشيخ عبد الرحمن بن سعدي وجهوده في تو ضيح العقيدة القول السديد في الرد على من أنكر تقسيم التوحيد الأثر المشهور عن الإمام مالك رحمه الله في صفة الاستواء تأملات في مماثلة المؤمن للنخلة دراسات في الباقيات الصالحات الحوقلة مفهومها وفضائلها ودلالتها العقدية تذكرة المؤتسي شرح عقيدة الحافظ عبد الغني المقدسي زيادة الإيمان ونقصانه وحكم الاستثناء فيه فقه الأدعية والأذكار الذكر والدعاء أشرطة مسموعة : 1. شرح القواعد المثلى. 2. شرح الكلم الطيب. 3. شرح قواعد الأسماء الحسنى لابن القيم. 4. شرح الحاشية لأبن أبي داود. 5. شرح عقيدة عبد الغني المقدسي. العلماء الذين تلقى العلم عنهم: 1. الشيخ عبد المحسن العباد. 2. الشيخ عبد الله الغنيمان. 3. الشيخ علي ناصر فقيهي. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ SIFA ZA MKE MWEMA ❝ ❞ ХОРОШИЕ ПЛОДЫ ИЗ МУДРОСТЕЙ И ПОЛОЖЕНИЙ ДЖИХАДА ❝ ❞ Sayyidu l Istighfar: Die vorz uuml glichste Art des Strebens nach Vergebung ❝ ❞ Доказательства Единобожия ❝ ❞ Причины увеличения и уменьшения веры ❝ ❞ Les enseignements tir eacute s du r eacute cit de Luqm acirc n le sage ❝ ❞ Les objectifs du p egrave lerinage ❝ الناشرين : ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❱
من كتب إسلامية باللغة السواحلية كتب إسلامية بلغات أخرى - مكتبة كتب إسلامية.

وصف الكتاب : Utangulizi...................................................................


Himidi zote ni Zake Allaah. Tunamhimidi na kumtaka msaada na kumuomba
mswamaha na tunatubu Kwake. Tunajikinga kwake kutokana na shari ya nafsi
zetu na matendo yetu maovu. Mwenye Kuongozwa na Allaah hakuna wa
kumpoteza. Mwenye Kupotezwa na Allaah hakuna wa kumwongoza.
Nashuhudia ya kwamba hapana mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki
isipokuwa Allaah Mmoja asiyekuwa na mshirika. Nashuhudia ya kwamba
Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake, Swalah na salaam zimwendee yeye,
ahli zake na Maswahabaha zake wote.
Amma ba ́ad...
Maudhui ya Risaalah hii iliyo na anuani ”Sifa za mke mwema” hayamuhusu tu
msichana mdogo ambaye yuko katika njia ya kutaka kuolewa na anataka kujua
sifa ambazo mke anatakiwa kuwa nazo ili ajiandae nazo, kuishi nazo na
kuzitimiza.
Vilevile hayamuhusu tu mwanamke ambaye ameolewa ambaye anataka kuwa na
sifa za mke mwema ili aweze kuzidhibiti na kuishi nazo katika maisha yake.
Vilevile hayamuhusu tu mwanamke mwenye upungufu ili aweze kutibu
upungufu wake na kujisahihisha mwenyewe na ndoa yake tukufu.
Ni wito na ukumbusho ulio jumla kuliko hivyo.
Ni ukumbusho kwa baba ambaye anataka wasichana zake na wanawake ambao
wako katika usimamizi wake wapate kukuwa vizuri na malezi mazuri na ndoa
ambayo inaafikiana na Matakwa ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ́alayhi wa sallam). Kwa
kupitia kalima hii itakuwa ni usaidizi kwake kuweza kuwakumbusha vidhibiti
vya Shari ́ah na sifa ambazo inatakikana kwa msichana kukuwa juu yake.
Kadhalika ni ukumbusho kwa mama ambaye ni mchungaji katika nyumba yake
na wasichana wake na kuwatengeneza. Wasichana wengi wanakuwa kwa tabia
na sifa mbalimbali ambazo wamepata kutoka kwa wamama zao.

Sifa Za Mke Mwema

Shaykh ́Abdur-Razzaaq bin ́Abdil-Muhsin















Kitabu hii kinazunguzia sifa za mke mwema na namna ya kuzipata sifa hizo.

للكاتب/المؤلف : عبدالرازق بن عبد المحسن العباد .
دار النشر : موقع دار الإسلام .
عدد مرات التحميل : 6343 مرّة / مرات.
تم اضافته في : الإثنين , 25 مارس 2019م.
حجم الكتاب عند التحميل : 574.3 كيلوبايت .

ولتسجيل ملاحظاتك ورأيك حول الكتاب يمكنك المشاركه في التعليقات من هنا:

Utangulizi................................................................................................................................. 3
Kanuni ya sifa za mke mwema ............................................................................................. 5
Mke mwema uhusiano wake na Allaah............................................................................... 7
Mke mwema uhusiano wake na Shetani ........................................................................... 12
Mke mwema anatakiwa kumfurahisha mume................................................................. 14
Mke mwema anatakiwa kumtii mume .............................................................................. 17
Mke mwema anatakiwa kutofanya upungufu katika haki za mume ........................... 21
Mke mwema hamtii mume wake uzito katika matumizi ............................................... 22
Mke mwema hatakiwi kukufuru neema kwa mume wake ............................................ 24
Mke mwema anatakiwa kumheshimu mume wake........................................................ 25
Mke mwema anatakiwa kuwa muadilifu kwa watoto wake ......................................... 27
Mke mwema anatakiwa kubaki nyumbani....................................................................... 28
Mke mwema hatoi siri za mume wake .............................................................................. 29
Hitimisho................................................................................................................................ 30

 

Himidi zote ni Zake Allaah. Tunamhimidi na kumtaka msaada na kumuomba
mswamaha na tunatubu Kwake. Tunajikinga kwake kutokana na shari ya nafsi
zetu na matendo yetu maovu. Mwenye Kuongozwa na Allaah hakuna wa
kumpoteza. Mwenye Kupotezwa na Allaah hakuna wa kumwongoza.
Nashuhudia ya kwamba hapana mola anayestahiki kuabudiwa kwa haki
isipokuwa Allaah Mmoja asiyekuwa na mshirika. Nashuhudia ya kwamba
Muhammad ni mja Wake na Mtume Wake, Swalah na salaam zimwendee yeye,
ahli zake na Maswahabaha zake wote.
Amma ba ́ad...
Maudhui ya Risaalah hii iliyo na anuani ”Sifa za mke mwema” hayamuhusu tu
msichana mdogo ambaye yuko katika njia ya kutaka kuolewa na anataka kujua
sifa ambazo mke anatakiwa kuwa nazo ili ajiandae nazo, kuishi nazo na
kuzitimiza.
Vilevile hayamuhusu tu mwanamke ambaye ameolewa ambaye anataka kuwa na
sifa za mke mwema ili aweze kuzidhibiti na kuishi nazo katika maisha yake.
Vilevile hayamuhusu tu mwanamke mwenye upungufu ili aweze kutibu
upungufu wake na kujisahihisha mwenyewe na ndoa yake tukufu.
Ni wito na ukumbusho ulio jumla kuliko hivyo.
Ni ukumbusho kwa baba ambaye anataka wasichana zake na wanawake ambao
wako katika usimamizi wake wapate kukuwa vizuri na malezi mazuri na ndoa
ambayo inaafikiana na Matakwa ya Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu  ́alayhi wa sallam). Kwa
kupitia kalima hii itakuwa ni usaidizi kwake kuweza kuwakumbusha vidhibiti
vya Shari ́ah na sifa ambazo inatakikana kwa msichana kukuwa juu yake.
Kadhalika ni ukumbusho kwa mama ambaye ni mchungaji katika nyumba yake
na wasichana wake na kuwatengeneza. Wasichana wengi wanakuwa kwa tabia
na sifa mbalimbali ambazo wamepata kutoka kwa wamama zao.

Sifa Za Mke Mwema

Shaykh  ́Abdur-Razzaaq bin  ́Abdil-Muhsin

 

Kadhalika ni ukumbusho kwa walinganiaji ili waweze kuliwekea uzito hili,
kutiliia umuhimu na kufanya juhudi katika kueneza sifa hizi tukufu, tabia
zilizosifiwa na kazi iliyobarikiwa ili ziweze kupatikana kwa wasichana na
wanawake katika jamii ya imani na majumbani. Hili ni khaswa hivi leo wakati
mwanamke ameshambuliwa kwa njia ambayo kamwe haijawahi kuonekana
hapo kabla. Inafanyika kwa kutumia namna na njia mbalimbali. Malengo ni
kutaka kumpotezea mwanamke heshima yake, utukufu wake, ukamilifu wake,
fadhila zake, uzuri wake, imani yake, tabia yake na wema wake.
Hapo kabla ilikuwa ni vigumu sana kwa mwanamke kufikiwa na propaganda
zinazoharibu, matamanio ya udanganyifu na maoni yaliyofungamana. Hilo
lilikuwa likitendeka ima kwa kupitia rafiki mbaya au mfano wa hayo. Ama leo
mwanamke anafikiwa na uchafu na uharibifu wote wa duniani nyumbani kwake.
Hahitaji kutoka nje kwa ajili ya hilo. Sasa mwanamke anaweza kukaa chumbani
mwake mbele ya TV, intaneti au magazeti machafu na akapata uchafu na shari
zote katika moyo wake na fikra zake. Ili aweze kuwa mwema, mtwaharifu,
mwenye Dini na mwenye kumtii Allaah (Subhaanahu wa Ta ́ala) analazimika kufunga
madirisha, njia na mwanya wa kila shari na uharibifu.
Mwanamke ana majukumu makubwa kwa wale watu ambao anawasimamia.
Suala hili linahitajia kuliwekea umuhimi mkubwa kabisa.
Katika kivuli cha hali hii na upungufu wa ukumbusho na ukumbusho wa imani,
tabia nzuri na maelezo mazuri ambayo mwanamke anatakiwa kuwa nayo,
wanawake wengi wamekuwa wadhaifu. Wametumbukia katika kuwa na
upungufu katika haya na Dini na kuanguka katika upungufu mwingi na
kuathirika.
Kalima hii ni kama tulivyosema ni kuhusu sifa za mke mwema. Ninamuomba
Allaah Mtukufu, Mola wa  ́Arshi kubwa, afanye iwe ya kheri na manufaa na
afanye iwe ni ufunguo wa kheri ufunge shari na uongoze nyoyo, uzitengeneze
nafsi na ufanye kuwepo mawasiliano na Mola wa walimwengu ili Radhi Zake na
Mapenzi Yake viwezi kufikiwa na kuepuka yale yanayomkasirikisha na
kumghadhibikisha (Jalla wa  ́Alaa).

 

Wakati tunapozungumzia kuhusu sifa za mke mwema na wema hatutakiwi
kupuuza kanuni kubwa ambayo ni kanuni ya msingi ya kufikia wema, nayo ni
kwamba wema hauwezi kufikiwa isipokuwa kwa mambo mawili:
Jambo la kwanza ni uafikishaji wa Allaah (Jalla wa  ́Alaa), uongofu Wake, msaada Wake,
usahali Wake na uafikishaji. Mwenye Kuongoza ni Allaah. Ndiye Muwafikishaji.
Mambo yote yako Mikononi Mwake (Jalla wa  ́Alaa). Allaah (Ta ́ala) Kasema:

 

 

 

 

 

 

 Kitabu hii kinazunguzia sifa za mke mwema na namna ya kuzipata sifa hizo.



نوع الكتاب : pdf.
اذا اعجبك الكتاب فضلاً اضغط على أعجبني
و يمكنك تحميله من هنا:

تحميل SIFA ZA MKE MWEMA
عبدالرازق بن عبد المحسن العباد
عبدالرازق بن عبد المحسن العباد
Abdul Razek bin Abdul Mohsen Al Abbad ABBAD AL BADR
دولة : المملكة العربية السعودية اسمه ونشأته: عبدالرزاق بن عبدالمحسن البدر تاريخ الميلاد 22111382هـ مكان الميلاد الزلفي. المؤهلات العلمية : الدكتوراه في العقيدة. عضو هيئة التدريس بالجامعة الإسلامية بالمدينة المنورة المؤلفات والبحوث: فقه الأدعية والأذكار. الحج وتهذيب النفوس. تذكرة المؤتي شرح عقيدة عبد الغني المقدسي. شرح حاشية أبي داود. دراسة لأثر مالك في الاستواء. كتب المصنف بالموقع أذكار الطهارة والصلاة التبيين لدعوات المرضى والمصابين التحفة السنية شرح منظومة ابن أبي داود الحائية الشيخ عبد الرحمن بن سعدي وجهوده في تو ضيح العقيدة القول السديد في الرد على من أنكر تقسيم التوحيد الأثر المشهور عن الإمام مالك رحمه الله في صفة الاستواء تأملات في مماثلة المؤمن للنخلة دراسات في الباقيات الصالحات الحوقلة مفهومها وفضائلها ودلالتها العقدية تذكرة المؤتسي شرح عقيدة الحافظ عبد الغني المقدسي زيادة الإيمان ونقصانه وحكم الاستثناء فيه فقه الأدعية والأذكار الذكر والدعاء أشرطة مسموعة : 1. شرح القواعد المثلى. 2. شرح الكلم الطيب. 3. شرح قواعد الأسماء الحسنى لابن القيم. 4. شرح الحاشية لأبن أبي داود. 5. شرح عقيدة عبد الغني المقدسي. العلماء الذين تلقى العلم عنهم: 1. الشيخ عبد المحسن العباد. 2. الشيخ عبد الله الغنيمان. 3. الشيخ علي ناصر فقيهي. ❰ له مجموعة من الإنجازات والمؤلفات أبرزها ❞ SIFA ZA MKE MWEMA ❝ ❞ ХОРОШИЕ ПЛОДЫ ИЗ МУДРОСТЕЙ И ПОЛОЖЕНИЙ ДЖИХАДА ❝ ❞ Sayyidu l Istighfar: Die vorz uuml glichste Art des Strebens nach Vergebung ❝ ❞ Доказательства Единобожия ❝ ❞ Причины увеличения и уменьшения веры ❝ ❞ Les enseignements tir eacute s du r eacute cit de Luqm acirc n le sage ❝ ❞ Les objectifs du p egrave lerinage ❝ الناشرين : ❞ موقع دار الإسلام ❝ ❱.



كتب اخرى في كتب إسلامية باللغة السواحلية

RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI PDF

قراءة و تحميل كتاب RISALA FUPI YA KUMUWEZESHA MTU KUPAMBANUA NI IPI DINI YA HAKI PDF مجانا

Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF

قراءة و تحميل كتاب Al kashaafu Mwangaza Katika Adabu Za Itikafu PDF مجانا

Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF

قراءة و تحميل كتاب Masomo katika umuhimu wa Tawhiidi Muhtasari wa kitabu cha Al Usulu AL Thalathah PDF مجانا

UBORA WA UISLAMU PDF

قراءة و تحميل كتاب UBORA WA UISLAMU PDF مجانا

HIJABU PDF

قراءة و تحميل كتاب HIJABU PDF مجانا

المزيد من كتب علوم القرآن في مكتبة كتب علوم القرآن , المزيد من كتب إسلامية متنوعة في مكتبة كتب إسلامية متنوعة , المزيد من إسلامية متنوعة في مكتبة إسلامية متنوعة , المزيد من كتب الفقه العام في مكتبة كتب الفقه العام , المزيد من كتب التوحيد والعقيدة في مكتبة كتب التوحيد والعقيدة , المزيد من مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف في مكتبة مؤلفات حول الحديث النبوي الشريف , المزيد من كتب أصول الفقه وقواعده في مكتبة كتب أصول الفقه وقواعده , المزيد من التراجم والأعلام في مكتبة التراجم والأعلام , المزيد من السنة النبوية الشريفة في مكتبة السنة النبوية الشريفة
عرض كل كتب إسلامية ..
اقرأ المزيد في مكتبة كتب إسلامية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تقنية المعلومات , اقرأ المزيد في مكتبة المناهج التعليمية والكتب الدراسية , اقرأ المزيد في مكتبة القصص والروايات والمجلّات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الهندسة والتكنولوجيا , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب والموسوعات العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب تعلم اللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التنمية البشرية , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب التعليمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب التاريخ , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأطفال قصص ومجلات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الطب , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب العلمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم سياسية وقانونية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأدب , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الروايات الأجنبية والعالمية , اقرأ المزيد في مكتبة كتب اللياقة البدنية والصحة العامة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب الأسرة والتربية الطبخ والديكور , اقرأ المزيد في مكتبة الكتب الغير مصنّفة , اقرأ المزيد في مكتبة كتب المعاجم واللغات , اقرأ المزيد في مكتبة كتب علوم عسكرية و قانون دولي
جميع مكتبات الكتب ..